Pakua AngaYetu

Pata taarifa sahihi za hali ya hewa Tanzania moja kwa moja kwenye simu yako.

📦
AngaYetu.apk
Ukubwa: 7.72 MB • Toleo: V2.0

Maelekezo ya usakinishaji

  1. Bonyeza kitufe cha "PAKUA APK" hapo juu
  2. Fungua faili iliyopakuliwa kwenye folder ya Downloads
  3. Ruhusu usakinishaji wa programu kutoka kwa vyanzo visivyojulikana
  4. Fuata maelekezo kwenye skrini ili kukamilisha usakinishaji